Hairusiwi kujaza fomu ya kuomba mkopo kwa taarifa zisizo sahihi ni kukiuka taratibu zetu za kisheria. Endapo fomu yako ya maombi itapitishwa utapatiwa mkopo wako kwa sekunde 120 tu.!
Kila huduma ya mikopo huwa na riba. Hata hivyo, katika utaratibu wetu mteja hulipa deni lake alilokopa tu bila malipo ya riba. mteja atarejesha kiasi alichokopa pekee. Hulipa deni lake kwa ulaisi bila malipo ya riba.
Kama mteja ni mala yake ya kwanza kuchukua mkopo hata pangiwa kiwango cha mwanzo kuchukua mkopo. Pindi hatakapo maliza kurejesha marejesho kwa wakati sahihi. hata ongezewa kiwango kikubwa zaidi. hata pandishwa daraja la juu.
Iwapo mteja atashindwa Kurejesha mkopo atachukuliwa hatua za kisheria kwa kumshitaki katika vyombo vya usalama na kumfungulia mashtaka ya kuhujumu taasisi.